sisi ni Uljana na Marcos Cramer. Tunakaa mjini Leipzig nchini Ujerumani; tumeoana tarehe 11 mwezi wa nane mwaka 2007.
Tulikutana mwishoni mwa mwaka 2004 katika mkutano wa vijana wanaoongea Kiesperanto.
Ukitaka kujua zaidi kuhusu sisi (tunapotoka, tunachopenda kukifanya, masomo/kazi), soma hapa.
Hapa unaweza kuangalia picha zetu.